You are here

Back to top

Sudi atekwa nyara (Paperback)

Sudi atekwa nyara Cover Image
$12.00
Special Order

Description


Baada ya kufanya vizuri katika mtihani, Sudi na Shada wanapelekwa na

wazazi wao kwenye mbuga ya wanyama. Wanapofika mbugani, Sudi

anatoweka pasi na yeyote kumwona. Wazazi wake na dada yake

wanaanza kumtafuta. Je, Sudi anapatikana?


Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo

zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza

ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha

uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha

na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo

yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.


Product Details
ISBN: 9789966642110
ISBN-10: 9966642110
Publisher: Longhorn Publishers Plc
Publication Date: May 8th, 2019
Pages: 38
Language: Swahili