You are here

Back to top

Sudi na shada sokoni (Paperback)

Sudi na shada sokoni Cover Image
$12.00
Special Order

Description


Masomo ya Ijumaa yanapokamilika katika shule ya msingi ya Mwangaza,

mwalimu anawapa Sudi, Shada na wanafunzi wenzao wa gredi ya tatu

kazi ya ziada. Mwalimu anawaagiza kuwa wakati wa wikendi waende

sokoni ili kufanya kazi hiyo. Je, Sudi na Shada wanapoenda sokoni

wanapata yepi huko?


Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo

zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza

ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha

uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha

na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo

yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.


Product Details
ISBN: 9789966642400
ISBN-10: 9966642404
Publisher: Longhorn Publishers Plc
Publication Date: August 1st, 2019
Pages: 38
Language: Swahili